Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
Zilikuwa 46Tablet ya Kichina tena Itel,utasubiri sana kwa hiyo bei.
Na me nina yangu samsung tab 7.7 model p6800.ni pm atakae hitaji
Acha kuharibu biashara za watu,anzisha Uzi wako.
Frank mwenye post ame-like hapo juu lkn we unaponda, na je kama ni id zake zote?
Nimeona,basi hii itakuwa mwendokasi.
Uza hukohuko Mwanza
Kwa nn mkuu?