Inauzwa Samsung galaxy s3 mini

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
56
..............
 

Attachments

  • 1399485402816.jpg
    55.1 KB · Views: 224
  • 1399485424367.jpg
    56.3 KB · Views: 204
Kama ni biashara kuna ukumbi wake sio huu.

Uelewa wako ni sawa na wa mke wangu.
Nini maana ya jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.?
Pendelea kutumia kichwa (kikubwa---kama wewe ni mwanaume) katika kuwaza na kuamua.
 
unauza bei gani mkuu? naomba contact yako mimi nahitaji
 
Uelewa wako ni sawa na wa mke wangu.
Nini maana ya jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.?
Pendelea kutumia kichwa (kikubwa---kama wewe ni mwanaume) katika kuwaza na kuamua.

Mkuu umenitukana sana. yaani kunilinganisha na huyo mkeo aliyekua housegirl wa dada yako. leo sitajibu tusi kwa tusi najua ni ukwasi ndio umekuletea msongo wa mawazo. pole sana. unauza bei gani hicho kimeo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…