Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

Kwaiyo Yale mapengo watu walikuwa wamejificha chini ya viti au? Alafu unatuletea story za uyo tapeli Micky mlamba viatu wa makolo
Nmetoka mfano wa jamaa yangu wewe unaleta mambo ya sijui tapeli. Mtu uko kantalamba sijui tandahimba uko unaleta ujuaji wa kijinga. Nimesema jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani nusu saa kabla ya game mambo ya tapeli yanatokea wapi. Shirikisha ubongo wako Acha ujinga
 
Sold out na uwanja kujaa ni vitu tofauti… Ukiangalia mazingira ya jiji, Ni rahisi mtu kununua ticket ila mda wa kwenda uwanjani anaghairi.

Pia watu hununua ticket kwajili ya kuziuza kwa bei ya juu, wakishindwa kuzimaliza ni wao. Ila hesabu ya simba ziliisha

Af naskia kuna ticket walinunua utopolo wakazichoma ili tu uwanja usijae
 
Kuna video hapa ninayo ya fungulia Mbwa inagoma Ku upload
 
Mbona Utopolo mna wivu sana ,watu wananunua tiketi ,ili waziueze kwa bei ya juu,sasa kama walikosa wateja ,Simba wao walishauza
Ndio kisingizio chenu hiki,pamoja na fungulia Mbwa na watu kufuatwa kule keko, Tandika na Mwembe Yanga bado Uwanja haukujaa.
 
Kwahiyo unamaanisha kuna waliokata tiketi lakini hawakuwa na mpango wa kwenda?
Namaanisha njia sahihi ya kuhakiki sold tickets ni taarifa za mapato sio idadi ya watu unaowaona.

Mbona jambo jepesi sana hilo.
 
Akili za Kimbumbumbu hizi,ndio maana Ahmed Ally anawaona mazuzu.
 
Namaanisha njia sahihi ya kuhakiki sold tickets ni taarifa za mapato sio idadi ya watu unaowaona.

Mbona jambo jepesi sana hilo.
Kwa Simba hii inayoongozwa kijanja janja hakuna linaloshindikana kuwafurahisha mashabiki wake mbumbumbu.
 
Ticket za Simba zinakuwasha wapi
 
Ndio kisingizio chenu hiki,pamoja na fungulia Mbwa na watu kufuatwa kule keko, Tandika na Mwembe Yanga bado Uwanja haukujaa.
One hour before game kwa taratibu za FIFA kama sikosei uwanja unafungwa. Hata uwe na tiketi huingii.

Hii haikuwa siku ya Simba Day, ilikuwa mechi kubwa ya kimataifa yenye viongozi wakubwa wa soka wa dunia.
 
Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
 
Kwahiyo lengo la kukata tiketi ni lipi?
Lengo ni mapato.

Boss kama lengo ni kujaza tu watu si unasema ni bure watu wanajaa.

Ukitaka kuhakiki kama tiketi zote ziliuzwa unahakiki taarifa za mapato.
 
Lengo ni mapato.

Boss kama lengo ni kujaza tu watu si unasema ni bure watu wanajaa.

Ukitaka kuhakiki kama tiketi zote ziliuzwa unahakiki taarifa za mapato.
Leo lengo limegeuka sio kujaza Uwanja tena kama ilivyokuwa Simba Day bali ni mapato?
 
Hahaha, Ushabiki unakufanya uwe na uongo uongo wa kitoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…