Money team
Member
- Nov 28, 2018
- 15
- 4
Vip baada ya kumaliza hiyo massage , ile huduma pendwa ipo pia?
Jibu swaliDuh jamaani
Huduma inayotolewa imeelezwa hapo,sasa sijui hiyo unayoisema umeiona imeandikwa wapi bossJibu swali
Huduma inayotolewa imeelezwa hapo,sasa sijui hiyo unayoisema umeiona imeandikwa wapi boss
Amekimbia?Bado hujajibu. Hiyo huduma unatoa hutoi? Wateja tupo. Pengine unaeza ukawa unatoa japo hujaandika kwenye tangazo.
Jiongeze bro, we nenda acha upimbiBado hujajibu. Hiyo huduma unatoa hutoi? Wateja tupo. Pengine unaeza ukawa unatoa japo hujaandika kwenye tangazo.
Dah! Nimetokea kuukumbuka kale kamwimbo sijui ameimba msanii yupi chenye kibwagizo "......Ni MASSAGE"Bado hujajibu. Hiyo huduma unatoa hutoi? Wateja tupo. Pengine unaeza ukawa unatoa japo hujaandika kwenye tangazo.
Kukaa kwake kimya ni jibu toshaJiongeze bro, we nenda acha upimbi
Kuna siku nilikuwa Dodoma kikazi nikakutafuta kwa ajili huduma ya massage ilikuwa vizuri sanaHabari wana jukwaa,
Napenda kuwakaribisha kupata huduma ya massage kwa jiji la Mwanza na viunga vyake kwa bei nafuu kabisa ili kuimarisha afya yako na kuondoa maumivu.Tafadhali piga 0759026697 kupata huduma zetu,,,Karibu sana!!!
Asante boss,karibu siku ukitembelea mwanzaKuna siku nilikuwa Dodoma kikazi nikakutafuta kwa ajili huduma ya massage ilikuwa vizuri sana