K kichakorojack Member Joined Sep 19, 2011 Posts 78 Reaction score 12 Jul 10, 2014 #1 Habarini za muda huu. Naombeni kujuzwa wapi ninaweza kupata huduma ya kutengenezewa barcode ya bidhaa yangu kwa Dar es salaam. Asanten.
Habarini za muda huu. Naombeni kujuzwa wapi ninaweza kupata huduma ya kutengenezewa barcode ya bidhaa yangu kwa Dar es salaam. Asanten.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Jul 10, 2014 #2 NENDA MSASANI TIRDO ukifika getini waulize watakuonyesha ofisi zilipo,panda