Ninayo cash hapa mkuu 150.siwez kukudanganyaHapo umeninywesha sumu kabisa, fanya 350k tufanye biashara
Njoo pm unipe dau la mwishoMkuu naelewa unayo hiyo, ila haifai kwa hii simu bado mpya kabisa, na uwezo wake ni mzuri sana, jichangechange kidogo upande dau