Bdo zpo!?Nicheki kwenye hizo number nilizotoa.
Dogo mzushi eti!?we jamaa umenivuta mpaka mwenge alafu ukawa hupatikani...
Mbna asitoe taarfa,,,, ebu niuzie hyo alokuuzia,!Sio mzushi nimechukua iliyokuwa imebak hapo hapo mwenge na hakawa hapatikani kwa hiyo tigo! !