Huawei ascend y300 inauzwa

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Usisubiri ukaikuta ishachukuliwa...huawei ascend y 300 inauzwa kwa Tsh 160000\= tu....wahi haraka
 
Iko katika hali gani weka picha na mawasiliano yako tufanye tathmin
 
imetumika mda gani hiyo, tupe habari hiyo tufahamu
 
mimi ninayo nimetumia mwezi mmoja nataka 150k tu nakupa na box lake inaingia line zote! mwenye kuhitaji anipm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…