Kwa specifications hizo, hiyo laptop ni nzuri sana. Mimi huwa naogopa sana Crack. Hasa zinazotokana na laptop kuanguka kutoka umbali makubwa. Unaweza kuta mother board ndiyo imepata hitilafu. Hapo hata ukiwa fundi, huna ujanja .
Otherwise, kwa hiyo laptop na bei uliyotoa ni reasonable. Kwasababu ya mashaka ya wateja, unaweza tushushia kidogo