Uzia wagogo wenzio huko Dom. Iyo pC inaonekana ni ya mwaka 2002. Haiwezekani Desktop ya leo ikawa na Drive ya Floppy Disk/ Diskatte.
Hiyo Kko ni 120,000/=
Dodoma hatutumii vitu vya namna hii, tunapiga na kurecord kwenye VCD, DVD, TF card, Memory za aina zote
sasa hapo wapi na wapi, Desk top ya aina hiyo?pia kwa Dodoma bei hiyo ni vigumu kupata hiyo Hp ni ya 1998 - 2002
Hard disk ya laptop
Size:500GB
Bei:50,000tshs
Location😀sm
Contact: 0746 299 203
Unaweza convert iwe external hard drive kwa kuweka external hard drive case