House to rent at kimara (stopover)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Salaam,
Nyumba inapatikana mbele kidogo ya KIMARA mwisho, kituo cha stop over

Maelezo:
Ina vyumba vitatu, ikiwemo master moja
Sitting room, kitchen, dinning room, store na public toilet.
Maji ya dawasa yanapatikana na mazingira tulivu
Kutoka stand ni mwendo Wa dakika 8 (kwa kutembea)
Kodi 350k (×6)
Call/SMS 0756 832833

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napafahamu hapo ( na hiyo nyumba pia) , ni maeneo mazuri na ni mtaa wa kistaarabu na baadhi ya wakazi wake hapo ni wazito, so anayepanda ustaarabu hapo patamfaa sana.
 
MBONA KAMA NI NYUMBA YA MZEE MTITU AMA NI KWA MZEE OMMARY YULE MPENZI WA SIMBA KAMA SIO KWA KUSHABA AMA NGALAMBE
 
Nashauri nyumba ikiwa bei kuanzia 350K muwe mnasema muda wa kufika kwa gari pia maana nadhani anaeweza kulipa 350k sidhani kama anaweza kosa kipando cha kumfikisha nyumbani akiwa kakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…