House for sale mbweni malindi

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Nyumba kubwa ya Ghorofa inauzwa Mbweni Malindi, ina Vyumba 5 vyote self contained. ina servant kota yenye vyumba viwili. Ina uwanja mkubwa wenye sqm 1625. Nyumba ina Hati. Bei Tsh 270 Milioni. Contact 0712 859537 serious buyers only.
 
Nani Anayetaka Kukaa Karibu Na Kwa " Wazee Wa Kazi? " Na Bahati Mbaya Sana Chuo Chao Kipo Jirani Tu Hapo. Kuna Mtu Anayependa Kurukishwa " Kichurachura " Kiholelaholela? Halafu Picha Ya Hiyo Nyumba Ni Nzuri Sana Ila Hiyo Bajaji " Imechafua Hali Ya Hewa ".
 
Hyo bajaji ndo inaashiria matokeo ya kuuzwa hyo nyumba
 
Mkuu mtafute Lugumi ananunua Hiyo fasta...Nenda mbweni jkt ulizia kwa lugumi utaonyeshwa ananunua bila zengwe.
 
Mkuu hutaki kukaa karibu na Chuo chenu kwa nini?
 
Bajaj inaleta hesabu mkuu, kuna mtu imempa ajira ana familia inamtegemea
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…