Nyumba inauzwa iringa-mtwivila karibu kabisa na shule ya viziwi.
Ina vyumba vinne kimoja master,stoo,jiko,sebule,choo na bafu vya public
ina eneo kubwa la akiba waweza jenga nyumba nyingine mbili.
Nyumba ina hati.
Bei ni 50m. Mazungumzo yapo.
Karibu sana
serious buyer call 0762295954