Good family house for sale in Kibaha,including apartments three apartments,water available, tanesco power available,1km from Kibaha bus station just contact 0655619108
Mkuu usiweke bei....anayehitaji apige simu....maana humu kuna vilaza wengi nasio wanunizi wala nini yani ukiweka bei tu wana kushambulia kwa matusi wengine watakuita jipu unafaa utumbuliwe. Jf kuna watu wa ajabu sana
Weka bei mkuu. Hata itakusaidia kupata simu za wale ambao wako serious tu. Unaweza kuweka indicative price tu then mengine ya ku-bargain mtaendelea huko simuni