ohhhhh lord have merch! unfinished house for 650 millIt is situated at Mbezi Beach in Kinondoni Municipality not very far under construction the new Bagamoyo Road. The House has 4 big bedroom, the far most big one is the master suite with which has by itself a study room , living room and a double huge baLcons. This house is one good houses which have been designed to comfort the persons dwelling within. There are also a big sitting room on ground floor. The price is tshs 650mil. For more information about this property call: 0717114409.
vipo bagamoyo kama unatakakitomai huna viwanja vya medium kwa bei chini ya milioni 5???vyenye hati????
bagamoyo ipi?
bei zake?
vimepimwa?
kitopeni, nimeambiwa vimepimwa na kila documents zipo... karibu na ule mradi wa green retreat
hebu nipe link na mie nijaribu maana nilitumiwa kwenye email ya groupmtm huyo aliyeleta hiyo thread hapa hakujibu pm yangu kabisa
wewe una mwingine wa uhakika?????
hebu nipe link na mie nijaribu maana nilitumiwa kwenye email ya group
i know this project and i have been theremtm hii hapa ukipata lolote uniambie
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/180542-changamkia-ardhi-bagamoyo.html
i know this project and i have been there
you can call one Musa 0717 504690
ila sina hakika kama bado vipo... i lost interest coz theywere expensive sana kwangu
walikua wanauza 10.500 kwa square meters nikashindwa, i bought jirani na hapo kwa 4500 kwa sq meters... ila nadhaniwatakua wanamaliziawalisema kiasi gani??????
Kwa nini tunaweka matangazo humu? Najua jibu unalo ila pengine linaweza lisiwe sahihi sana.Nitatoa ufafanuzi kidogo. kwa mujibu wa ALEXA, Jamii Forums inashika nafasi ya 8 katika top 500 sites in TZ. Tena hizo nyingine 7 zilizopo juu ya Jamii ni sites za kigeni ikiwamo Facebook. Tena ukitoka namba 8 kushuka chini unatembea mwendo kidogo kuikuta site nyingine ya kibongo. Kwa upeo wangu niimeona niweke humu vya kutumia hivyo vigezo.Naona mwenzangu unajua vizuri wapi matangazo kama hayo yanapaswa kuwekwa na nitashukuru sana iwapo utanitumia orodha ya sites ambazo wewe unaamini tangazo kama hilo lilipaswa kuwekwa.Asanta.
Hiyo nyumba, qualitywise ni very poor kabla hata ya kuanza discussion ya bei. Hili ni tatizo mno bongo lakini ukirudi nyuma unakuta asili ya tatizo ni lack of training. Mafundi wengi bongo na wasaidizi wao hawajapata mafunzo ya aina yeyote zaidi ya ujuzi kazini na uzoefu. Hii mara nyingi husababisha kutokuwepo na consistency ya ubora, lakini jingine husababishwa na wenye nyumba wenyewe kununua materials za bei rahisi.
Hivyo basi kwa ushauri kama muuzaji yuko srious na hiyo 650mn basi hana budi kutumia around 200mn kwanza kuboresha hiyo nyumba kabla ya kuiuza!
we uoni hata hiyo nyumba imekaa kama imeegeshewa kwenye mlima? haiko wima, imejengwa tu bala hata ramaniMkuu Nyambala unaweza kutoa mfano wa kitu gani umeona hapo amabcho ni moja ka moja kiaonyesha kuwa nyumba haina ubora? Hii yaweza kutusaidia wengine katika pilikapilika zetu za ujenzi. Asante.