dalali maridadi
Member
- Sep 13, 2015
- 49
- 29
Mkuu hapo Destephano's biashara ni ngumu sana...kwa hiyo bei sijui...Ipo kariakoo mtaa wa makutano wa amani na vita karibu na Livingstone hotel ya zamani
View attachment 407571Ni ghorofa tano(5) na ina Vyumba 24
.
Haina tatizo lolote
Bei: ni 2.5billions TSHS
contact: 0714571170/0786192808
watu kama nyinyi tunwataka sana katika nchi hii ya viwandaIkifika laki tano ni PM nikupe cash
zikiwa za Kenya hutaweza nunua kabsaa.....ZA ZIMBABWE LABDA.Bilioni 2.5 za Tanzania au za Kenya?