Hii si yakukosa wahi mapema.

prince wilson

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
10
Reaction score
4
Simu zinauzwa ni simu mpya kabisa zikiwa hazija tumika na zikiwa kwenye box lake pamoja na accessories zake zote kutoka kiwandani ni simu za kisasa zenye operating system "Android 4.0 ikiwa na internal memory 120MB,camera 3.2MP pia ina flash,Blueetooth,Wi-Fi na kadhalika.ili kuipata wasiliana nami kwa simu nambari 0719 147503 au 0753 009325.pia zipo android phone touch screen aina mbalimbali kuanzia laki moja.PIA TABLET KUANZIA SCREE SIZE 7 INCH NA KUENDELEA ZINAPATIKANA KWAGHARAMA YA KUANZIA TSH.300,000/- WAHI SASA.

TABLETS
 
Uko wapi mkuu, mi nataka tablet moja hapo
 
aina gani ya simu hizo kwani hata mimi ninataka hata mojawapo tu ila lazima nijue ni aina gani!!!! ila isiwe mchina tu
 
Duh kapotea mjomba..
Kama kuna smartphone yenye internal memory kubwa than 120MB nijuze kaka. Hii simu nadhani its Huawei Ascend Y200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…