Yaani hatujamaliza mfungo mnagombea mwanamke badala ya kugombea pepo? Nyie vipi?!
Preta, kwa mwendokasi huu, inabidi yanzishe 'men's daycare center,lol
kamata CUTE.....huyu alijaribu kuniingilia lakini alishindwa......nataka nimkomeshe......mpe ile dozi yako nene......
Natangaza rasmi, ndoa yangu na BADILI TABIA imekufa. Nabakia na wake zangu wawili cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho
Acha mashkhara unataka kuniacha mke wa ujana wako? Hata maandiko yanakataza.......
Acha mashkhara unataka kuniacha mke wa ujana wako? Hata maandiko yanakataza.......
Natangaza rasmi, ndoa yangu na BADILI TABIA imekufa. Nabakia na wake zangu wawili cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho
Jamaniiii......
Nimegundua bora kuwa single.
Mhhh...huu upepo hapana.
Nabaki singo, nitakuwa najichua, lol.
Mbona hata juzi Mmu alikua na mwingine ?
Babu mulika panja! Kumbe Babu na wewe wajua kupiga mtu raba !
Sema tukapelekee posa wapi ?
Kata mti usipande mti ?
Kata mmoja panda mi5 ! Alaaa!
Kibbutt at works tena Babu alishan'tonya ilikua akuoteshe kitaamboje ?
Tukawa twamplizpliz ! Sasa wastahili ! Kiatu cha fidi fosi uchegeme nacho! Unarro hirro ! ra ukweri !
Umeona eeh? Hommie Asprin imeandikwa usimwache mke wa ujana wako. BADILI TABIA ni wako tu hakuna namn.
..mie bado niko ICU huku ..nikitoka nitatoa tamko rasmi..
Bora single eeh? (hiyo bora single isome kwa style ya kubana pua!) Afu hapohapo unataka mtoto! Utamzaa kwa roho mtktf si eti ?