Kachukue show room kwa 35M mkuu
Inawezekana.Uimara mkuu
Aina ya engine ni CC 2500 petrol 2RZ, imeshatembea km 125,300Hiyo gari engine ni 3L.
Samahani mkuu, Ipo Gongo La Mboto week hii ilikuwa njia ya boko huku, anyway Asante kwa kuniweka sawaAcha hasira kwenye biashara.
Ukisema gari yako nafuu vinginevyo "kanunue show room" inabidi gari yako nayo iwe iko show room au ina hadhi ya show room, imeshuka nchini majuzi.
Gari yako imepigika hapa Bongo tayari, gari za showroom japo sio mpya lakini angalau zimetoka Kumamoto moja kwa moja ambako abiria hawapandi daladala na virumbesa vya viazi, mikaa, mbuzi, mbolea, mitumba, shisha, pembe za ndovu, maiti!
Tena njia ya Gongo la Mboto! Mbovu ajabu... na hapo hatujui ni kifaa gani kilikushinda ukaweka feki cha Mchina uuze gari uachane na stress.
Kwa hiyo acha hasira, nadi bidhaa yako kwa upole, professionally.
Bora ulivyomfafanunuliaCoaster ni 70m sasa hivi...
mkuu nahitaji kuiona hii gari kama bado ipo nije, namba yangu hii 0785 600 453 ikiwezekana ata kesho Mungu akipenda.Bora ulivyomfafanunulia
Ipo mkuu poa nakucheki sijui upo pande zipmkuu nahitaji kuiona hii gari kama bado ipo nije, namba yangu hii 0785 600 453 ikiwezekana ata kesho Mungu akipenda.
Kaka nlikosea namba yangu ila nashida na hiyo gari sana kama ntaipenda namba hii nijulishe 0785 600 435Hiyo gari engine ni 3L.
mm nadhani coaster ni bei tofauti na hiace,,coaster mpya kabisa no 75mlNi kweli mkuu, hiyo bei ni sawa kabisa ingawa sielewi kwanini Toyota hiace zina bei kuliko Coaster au Isuzu journey bus.
Zikiwa zinauzwa used.mm nadhani coaster ni bei tofauti na hiace,,coaster mpya kabisa no 75ml
Hiyo gari engine ni 3L.
Nani katukana hapo!?!? 3L ni moja ya engine bora. Na nilikosa hizo details za mwisho ndio maana nikafikiri ni 3L. Sasa sijui hizo BS zako zatoka wapi.Amekuambia ni ya petrol sasa 3L imetokea wapi hapa? Ka hutaki usitukane gari za atu
Noma kaka ila ni pm namba yako>>CHUKUA 8.5 MKUU >>
Mkuu kwani unanunua bila kufanyia majaribio na kukagua, acha ku kremuHiace ni gari ngumu na inadumu ila ikiuzwa used na m- bongo unakamatishwa iliyomshinda, bora angekuwa anauza mzungu aliyemaliza mkataba hapa bongo na anarudi kwao !!
Hujui bei xa magar kaa kimyaMilioni 35 nachukua Isuzu journey au coaster mbili na chenji inabaki.
Kweli mkuu msamehe hajui kituHujui bei xa magar kaa kimya