Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 188 Reaction score 154 Apr 6, 2019 #1 Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Apr 6, 2019 #2 Acha kuwaza uzinzi .kuu ngoja upone yes bishoo haswaaa
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,410 Reaction score 6,496 Apr 6, 2019 #3 Osmokalu said: Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume Click to expand... hukumuuliza dokta aliyekupasua? thanks to god the almighty
Osmokalu said: Ni muda gani wa kufanya mapenzi baada ya kufanyiwa operation ya hernia kwa mwanaume Click to expand... hukumuuliza dokta aliyekupasua? thanks to god the almighty
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,502 Reaction score 6,460 Apr 6, 2019 #4 Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ
Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ
Osmokalu Senior Member Joined Nov 13, 2015 Posts 188 Reaction score 154 Apr 6, 2019 Thread starter #5 Ligogoma said: Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ Click to expand... πππ
Ligogoma said: Una miezi si chini ya sita, kutegemea na complications zilizojitokeza!! πππ Sikucheki, nakusikitikia mtu wangu! Ukipingana na dokta umefumua mshono ππππ Click to expand... πππ