Habari,kwa yeyote mwenye uhitaji wa set ya dryer kama inavyo onekana kwenye picha karibu ujipatie .
Bei : 45000
Location : chanika
Mawasiliano : +255688058336
Mkuu nashukuru umeona mapungufu ya jibu lako ingawa mteja aliyekuuliza swali la watts ngapi hujamjibu.Anyways nilikuwa najaribu kumsaidia mteja aliyekuuliza swali apate jibu stahiki.Barikiwa
Nimejibu kilichoandikwa kwenye specifications za device husika mkuu kwa kuwa watengenezaji wameonyesha tu kuwa kinaendana na standards za umeme za Africa .
Na sihitaji kuonyesha ugwiji wowote hapo unless otherwise .
Nunua hiyo bidhaa boss kama unahitaji ,tuache hayo makando kwanza
Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake
Mkuu nashukuru umeona mapungufu ya jibu lako ingawa mteja aliyekuuliza swali la watts ngapi hujamjibu.Anyways nilikuwa najaribu kumsaidia mteja aliyekuuliza swali apate jibu stahiki.Barikiwa