Mie mwenzio niliamua kulitoa baada ya dada mmoja kunifanya gari la mshahara ,unajua ilikuwaje
Nilimpata demu ,katika harakati za kutaka kumgegeda nikataka nizime taa akakataa taa isizimwe yeye mda huo kashasaula mie nimevaa bucta ,wakati napotezea kumbe machale yakawa yameshamcheza akanifanyia timing ,wakati yeye kakaa kitandani nikawa nimemsogelea akaishika ile bucta kwa chini na kuivuta kwa ghafla lolo govi langu silikaonekana,akagoma kugegedwa na mimi kwa aibu nikamsihi asimwambie mtu ila sasa yeye akaanza kuninyanyasa kila akiwa na shida ya pesa ananiomba kwa mikwara na kusema usiponipa nauza issue baada ya kuvumilia kwa muda nikaona ni utumwa ndipo nilipoamua kulitoa
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
kupona itakuchukua mwezi mzima, wanasema "no pain no gain".
Kaka pole sana, mimi ni daktari wa binadamu hiyo kitu inatolewa vizuri tu hakuna tatizo lolote, nenda hospitali kama hutaki longo longo TUMAINI upanga patakufaa ni pesa yako tu maana ni private hospital..!! Karibu sana upate SUNA!!Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com
Bora ulitoe kabla hawajaanza kukutangazia.
Usiombe watoto wa kike walijue utapata aibu kubwa sana utajuta.
Tatizo ni kupona haraka na hapa kitaa aibu watu wakijua si itabidi niwe najifcha ndani .any way ngoja nijaribu
hata wiki 3 inawezekana ila
ushinde na ulale kama mbwa(uchi)na ukipona usi doo kwa wiki tatu zaid.
kuna rafiki yangu baada ya kupona fasta akapata ka dem akakafinya ile
kumaliza tu,akatoka na damu. akajisalimisha kwa mtu mzima,kucheki kitu
kimefumuka tena palepale uzi ulipopita,daa akarudishwa tena
hosp.akashonwa tena,sisi tukawa tumepona yy kwa raha ya usku mmoja
akauguza donda kwa mwez moja tena.
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana

Nani kakuongopea kuwa ukitowa govi lako ukubwani kupona linakuwa sio rahisi? nenda hospitali kalitowe hilo govi lako utapona kwamuda usiozidi siku 7 tu acha uoga huo wa kijinga. Kalitowe upesi govi pia linasababisha maradhi mengi mojawapo ya maradhi ya ukimwi. mkuu MENISONMiaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com
si unakua kama unalimenya kama ndizi wakati wa kuduu