Gesti inauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Gesti nyenye vyumba kumi na sita na eneo kubwa kwa ajili ya kuegesha magari inauzwa,iko tabata kimanga barabarani,bado ni mpya haijaanza kutumika.
kwa mawasiliano zaidi piga
0714358610
 

Attachments

  • IMG_20140807_153511.jpg
    307.8 KB · Views: 449
  • IMG_20140807_153521.jpg
    296.8 KB · Views: 407
  • IMG_20140807_153547.jpg
    220.8 KB · Views: 377
  • IMG_20140807_153829.jpg
    303.7 KB · Views: 362
  • IMG_20140807_153622.jpg
    355.1 KB · Views: 346
  • IMG_20140807_153816.jpg
    178.1 KB · Views: 327
  • IMG_20140807_154409.jpg
    306.1 KB · Views: 329
  • IMG_20140807_153721.jpg
    398.9 KB · Views: 325
  • IMG_20140807_153610.jpg
    168.2 KB · Views: 312
  • IMG_20140807_153846.jpg
    315.5 KB · Views: 328
Gesti nyenye vyumba kumi na sita na eneo kubwa kwa ajili ya kuegesha magari inauzwa,iko tabata kimanga barabarani,bado ni mpya haijaanza kutumika.
kwa mawasiliano zaidi piga
0714358610

Mkuu bei tafadhali,usiogope changamoto za upinzani wa bei za wadau humu ndani.Wengine wapo nje ya Tanzania kwahiyo swala la kuanza kupigiana simu kwa kitu kidogo linakuwa halijakaa vizuri,kwahiyo weka tu bei hapa ili kama mtu ana mudu ndio akupigie simu
 
Hivi wewe kichwani timamu kweli?
Mzima kabisa sijui wewe labda?mtu anapotaka kununua kitu lazima ajue sababu kwanini unauza,ni ya urithi,ina ugomvi,ina deni?kuna mtu atanunua kichwakichwa kweli dunia ya leo?nasubiri jibu
 
Jamani atakae nunua napendekeza jina iitwe BAO TATU G.HOUSE itauza sana!
 
Mzima kabisa sijui wewe labda?mtu anapotaka kununua kitu lazima ajue sababu kwanini unauza,ni ya urithi,ina ugomvi,ina deni?kuna mtu atanunua kichwakichwa kweli dunia ya leo?nasubiri jibu

Ndo maana nikaweka namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano kama ni mnunuaji kweli utapiga simu au pm then utajibiwa maswali yako yote likiwepo na hilo la kwanini nauza
 
Ndo maana nikaweka namba ya simu kwa ajili ya mawasiliano kama ni mnunuaji kweli utapiga simu au pm then utajibiwa maswali yako yote likiwepo na hilo la kwanini nauza

None sense
 
Bei ya mwisho kwa vile Mungu ameniita ni 15m tu.
Vyote Self Contained,ili watu wakimaliza kugegedana siokusubiri mwenzio,maana Tanata hakuna mzungu wala mgeni kiutoka mbali.Wateja watarajiwa kazi yao ni moja tu.Short times.
Njoo nikuuzie upige pesa haramu
 
Mkuu weka maelezo yote muhimu hapa hadharani mnunuzi akishaona hapa akaridhika ndio mambo ya simu/pm yanafuata. Kuuza kunahitaji umakini wa hali ya juu!
 
Mkuu weka maelezo yote muhimu hapa hadharani mnunuzi akishaona hapa akaridhika ndio mambo ya simu/pm yanafuata. Kuuza kunahitaji umakini wa hali ya juu!

maelezo mbona yanajitoshereza ndugu yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…