Mkuu njoo wasap nikupe gari yA kuendesha wajukuu na vitukuuIwe kati ya IST,Vitz,Raum,Spacio au yyte engine za vvti cc isizidi 1490
Iliotunzwa vzr namba C na D tuu
Ofer 4M-7 M
Ishu iko silias
IST itapewa kipaumbele
Staki msururu wa madalali
NB bei elekez nshatoa xo u akuja oooh mm sjui fuso nipe mill56 Hapana
Ahsanteni
Hellow huyoo anazo gar kwelii
0755155782Hellow huyoo anazo gar kwelii
naomba Hiyo gari,kuna spacio namba D...low mileage
inahitaji Milioni 7..fixed