(gari) terios inauzwa

Nilishangaa! ni kweli cc660 ulaji wake ni mdogo sana. vp spea za hiyo gari zinapatikana? na bei za spea ni 'fea'?

Hii gari sio ya CC 660 kwa maana kina kioo cha nyuma kabisa cha pembeni.

Ingekua haina hicho kioo ingekua TERIOS KID so ingekua ndio ya CC 660.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…