Wakuu habari ya asubuhi? Nina kagari kangu Suzuki Omni ya 2010, ina km 53,000 namba BRS inauzwa bei 6,000,000/= ipo kwenye hali nzuri anayehitaji anipm.
Picha za ndani nitaatach kesho kwani nipo mkoani na gari ipo dar, Sababu ya kuuza ni kwamba niliinunua kwa ajili ya biashara kwani mkoa nilipokuwa kulikuwa hakuna magari ya kutosha sasa Sumatra wamevikataa kuvisajili so hakuna njia zaidi ya kuuza. Engine ni nzima unaweza kwenda popote Tanzania bila ya tatizo lolote.