SectionTwenty JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 675 Reaction score 614 Sep 25, 2013 #1 Ninauza gari aina ya cardina yenye namba T 700 ATG inauzwa 7000000 Asanteni
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,282 Reaction score 9,033 Sep 25, 2013 #2 Bei nzuri ila jukwaa na contents haviendani kabisa.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Sep 25, 2013 #3 mkali wao said: Ninauza gari aina ya cardina yenye namba T 700 ATG inauzwa 7000000 Asanteni Click to expand... Cardina ni gari gani......?.....una picha......?
mkali wao said: Ninauza gari aina ya cardina yenye namba T 700 ATG inauzwa 7000000 Asanteni Click to expand... Cardina ni gari gani......?.....una picha......?
M mbugot Member Joined Aug 7, 2013 Posts 42 Reaction score 37 Oct 21, 2013 #4 Una picha ? lina km ngapi ? Liko kwenye hali gani ? Naomba utoe maelezo zaidi.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Oct 22, 2013 #5 mkali wao said: Ninauza gari aina ya cardina yenye namba T 700 ATG inauzwa 7000000 Asanteni Click to expand... Weka picha na taarifa muhimu.
mkali wao said: Ninauza gari aina ya cardina yenye namba T 700 ATG inauzwa 7000000 Asanteni Click to expand... Weka picha na taarifa muhimu.