Picha ya Gari ikowapi Baba
Uko serious na Biashara kweli kweli wewe? unauza mbuzi kwenye Gunia au
Kuwa Serious?
Namba yako nayo haipatikani...tangazo limekaakaa kama la hii sikukuu yetu vile.
Huyu mtu analeta utani hapa....Mimi nauza gari siuzi sura ya gari. PM me if you need pictures and if you are serious buyer. Wakati mwingine inabidi tuokoe bandwidth za JF.
Namba nilikosea samahani. Nime ku PM namba ni 0756 446 468. Naona sikukuu ni nyingi Bongo wengine tulishafuta.
Thank you
mkuu ni manual au automatic???Gari inauzwa aina ya Suzuki Escudo milango mitatu.
Ina usajili T991 ADQ
Mwaka: 1993
Iliingia Tanzania kutoka Japan 2004 na imetembea kilometa zipatazo 130,000.
Ipo katika hali nzuri sana na imekuwa inafanyiwa maintenance kila baada ya km 3,000 na rekodi za maintanance zipo.
Bei ni maelewano, mwenye kuihitaji apige simu au kutuma sms ataambiwa bei.
Mwenye kuihitaji awasiliane na Gigwa 0756 446 468.
Kama utasoma hii thread baada ya tarehe 10 April 2009 usipige wala kuulizia. Itakuwa ilishauzwa.
mkuu ni manual au automatic???