njoo PM mkuuHabari wadau,
Natafuta gari ya mkopo, kwa kulipia kidogo kidogo gari budget 4,000,000/= aina ya gari suzuki jimny wide au escudo namba sijali saana hata A poa ila gari iwe nzima tuh asante karibuni.
Napiga kazi yani mwajiriwa sehemu fulani na net salary kiasi nzuri ina weza nifanya ningie bank nakukopa gari mpya ila nimejaribu bank kuomba mkopo mwajiri wangu anazingua hataki kukubali kuni dhamini ndo changamoto ni lio nayo,karibuni hata kwa ushauri kama kuna watu wanakopesha gari nalipia kidogo kidogo.
Mkuu, yaani na mimi ni kama huyo jamaa...benki hawataki kutupa mikopo, vigari tunavitaka, pesa haiwekekinjoo PM mkuu
Yes tupo wengi.Mkuu, yaani na mimi ni kama huyo jamaa...benki hawataki kutupa mikopo, vigari tunavitaka, pesa haiwekeki
sema kweli naona gari nyingi tuh nzuri na bei poa kupatana ila ndo hivyo bank zime tutupa sijui kuna taasisi inakopesha tufamishane tupeane kidogo kidogo.Mkuu, yaani na mimi ni kama huyo jamaa...benki hawataki kutupa mikopo, vigari tunavitaka, pesa haiwekeki
mimi bank mshahara unakopitia ni exim bank na jamaa wanataka kampuni ndo hi ni dhamini nipate mkopo wa 7,200,000 hivi ila muhindi hataki kuni dhamini. ila bank zingine hawana neno tatizo wanataka mshahara upite kwenye bank zao ila nae muhindi hataki mshahara upitie bank zingine zaidi ya exim tuh.Kwanza bank kama NBC wanazengua mkopo mtu unakaa mpaka miezi miwili hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app