Gari kama utainunua leo na kuisajili tu then ukaenda kuifungia ndani kwa miaka minne siku ukiitoa huwezi kuuza kwa bei uliyonunulia kwa sababu zinashuka thamani kulingana na muda iliyosajiliwa. Kwa kiswahili inaitwa depreciation. Kama ni gari yako mwenyewe basi uza hata kwa 7m kama ni dalali basi hata 16m uza maana wajinga hawaishi.