Mtu atakuwaje tayari kwa biashara hii wakati taarifa nyingi muhimu umezificha.. Gari ni ya mwaka gani, picha kuonyesha hali ya gari.. Usiuzie watu mbuzi ktk gunia..