Dennismakoi Member Joined Jan 23, 2012 Posts 34 Reaction score 3 Oct 8, 2013 #1 gari inauzwa location ; ARUSHA imetembea km 80000 tu ipo kwenye hali nzuri kwa maelezo zaidi piga 0712860006 Attachments Screenshot_2013-10-08-08-29-06.png 380.9 KB · Views: 170 Screenshot_2013-10-08-08-29-09.jpg 151.7 KB · Views: 127
gari inauzwa location ; ARUSHA imetembea km 80000 tu ipo kwenye hali nzuri kwa maelezo zaidi piga 0712860006
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Oct 22, 2013 #3 teh teh teh imetembea kilomita ngapi?? mkuu ukitaka kuuza gari now kilomita sio ishu sana coz zinashushwa hizo hata ukitaka uwekewe kilomita zero ni wewe 2.
teh teh teh imetembea kilomita ngapi?? mkuu ukitaka kuuza gari now kilomita sio ishu sana coz zinashushwa hizo hata ukitaka uwekewe kilomita zero ni wewe 2.
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Oct 26, 2013 #4 peleka pale philips .....
Dennismakoi Member Joined Jan 23, 2012 Posts 34 Reaction score 3 Nov 4, 2013 Thread starter #5 Imetembwa km 80000 tu kaka. Na ipo kwenye good condition kabisa.
Godfrey Damian Member Joined Dec 21, 2012 Posts 93 Reaction score 29 Nov 17, 2013 #6 Bei gani hilo gari linauzwa??.
M MCHUMIPESA JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,088 Reaction score 259 Nov 17, 2013 #7 bei gan??? Si useme????
K kambi tata Senior Member Joined Oct 13, 2012 Posts 114 Reaction score 18 Nov 17, 2013 #8 Mkuu hiyo ni GX-110 bei gani anauza? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,407 Reaction score 88,699 Nov 17, 2013 #9 Mark 2 Grande!! BTH ina miaka mitatu tangia uisajiri unauza kwa sh ngapi?