M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 25, 2016 #1 Toyota Corolla X Mwaka 2001 Km. 150329 Tshs 5.5 Cc 1496 Engine VVT-I Vibali vyote vipo hai Gari ipo kwenye hali nzuri sana 0655874863
Toyota Corolla X Mwaka 2001 Km. 150329 Tshs 5.5 Cc 1496 Engine VVT-I Vibali vyote vipo hai Gari ipo kwenye hali nzuri sana 0655874863
Jcoder JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 500 Reaction score 313 Jun 25, 2016 #2 Inamezaje mafuta mkuu. 1litre Km ngap?
M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 25, 2016 Thread starter #3 1lte 12-14km
Hebie JF-Expert Member Joined Jul 29, 2012 Posts 1,415 Reaction score 876 Jun 25, 2016 #4 Mh mie ninahitaji lakini Salio ni 3.5ml
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,337 Jun 25, 2016 #6 ukikosa kabisa kama wote wazushi njoo kwangu nina 4m.. cash.. mi niifanye tax tu kubahatisha hela
M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 25, 2016 Thread starter #7 iMachange7 said: Nina 5m Click to expand... Chukua namba tuwasiliane,hatutashindwana
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,913 Jun 26, 2016 #8 shaurimbaya said: ukikosa kabisa kama wote wazushi njoo kwangu nina 4m.. cash.. mi niifanye tax tu kubahatisha hela Click to expand... Hahaha,mkuu Taz mkoa upi Maana Dar bodaboda zimeuwa soko
shaurimbaya said: ukikosa kabisa kama wote wazushi njoo kwangu nina 4m.. cash.. mi niifanye tax tu kubahatisha hela Click to expand... Hahaha,mkuu Taz mkoa upi Maana Dar bodaboda zimeuwa soko
kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,883 Reaction score 2,786 Jun 26, 2016 #9 Namba B unauza 6? Hiyo thamani yake ni Chini ya 800k
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,000 Jun 26, 2016 #10 Tax siku hizi wapi pikipki funika njia za miji Tz nzima. Labda upaki hospitali ususbiri wagonjwa wakiruhusiwa.
Tax siku hizi wapi pikipki funika njia za miji Tz nzima. Labda upaki hospitali ususbiri wagonjwa wakiruhusiwa.
S shamasalu Member Joined Apr 18, 2016 Posts 25 Reaction score 11 Jun 26, 2016 #11 4m kama uko tayari chek mi serious buyer
Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,374 Reaction score 13,097 Jun 27, 2016 #12 Gari number BB* maximum price ni 3 si zaidi ya hapo
M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 27, 2016 Thread starter #13 Not less than 5.3