I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,829 Reaction score 9,771 Mar 15, 2014 #1 Imetumika hapa tanzania, Inatembea, ipo kwenye hali nzuri sana, imelipiwa kodi zote 0757 455070 Attachments uploadfromtaptalk1394897143234.jpg 82.1 KB · Views: 500 uploadfromtaptalk1394897186603.jpg 94.3 KB · Views: 428 uploadfromtaptalk1394897232818.jpg 73.5 KB · Views: 413
Gajungi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 257 Reaction score 83 Mar 15, 2014 #2 Ni ya Mwaka gani?mwaka gani imeingia?miliage?
I incharge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 5,829 Reaction score 9,771 Mar 15, 2014 Thread starter #3 Mwaka 2000, namba B, 80, 000km
believer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 639 Reaction score 216 Mar 16, 2014 #4 next time unatoa advert km hii tafuta mandhari nzuri bro,kwa mwingine akiona gari km hapo ipo maeneo ya garage,anapata hisia kwamba hua linakusumbua sn na wazo la kuuliuza kakupa yule fundi wako,otherwise best of lucky bro.
next time unatoa advert km hii tafuta mandhari nzuri bro,kwa mwingine akiona gari km hapo ipo maeneo ya garage,anapata hisia kwamba hua linakusumbua sn na wazo la kuuliuza kakupa yule fundi wako,otherwise best of lucky bro.
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Mar 17, 2014 #5 Nimeku pm mkuu.
straight motion Member Joined Mar 12, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Mar 17, 2014 #6 Inawezekana spana mkononi maana mazingila iliyopo ina tatanisha,, Sent from my iPhone using JamiiForums
Inawezekana spana mkononi maana mazingila iliyopo ina tatanisha,, Sent from my iPhone using JamiiForums
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Mar 17, 2014 #7 Hii ukishalipa pesa aliyeuza lazima abadilishe namba ya simu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,943 Reaction score 54,001 Mar 17, 2014 #8 Kazuri kweli, ila ukiipiga moto sijui kama ina work properly