Ni Mitsubishi Lancer Cedia, cc1460 millege 68000km, year 2000 nimeagiza mwenyewe toka japani mwezi wa tatu 2013.
ina vibariri vyote pamoja na bima kubwa inayoishia Mar 2014. nimeamua kuuza nifanye mambo mengine. walio serious wanipigie kwenye namber hii. 0767458197. nimeweka picha ili uangalie BEI TSH 9500000 shukrani
Mkuu hiyo sio gari ya kuuza kwa iyo bei...majembe auction,vijana wa kazi. pale mwenge wanazo rav 4 nzima kabisa M7...kila la kheri
Ulidanganyika na body ukaoda sasa iendeshe mwenyewe!!Hizo gari mkataba nikama ndoa ya kikiristoNi Mitsubishi Lancer Cedia, cc1460 millege 68000km, year 2000 nimeagiza mwenyewe toka japani mwezi wa tatu 2013.
ina vibariri vyote pamoja na bima kubwa inayoishia Mar 2014. nimeamua kuuza nifanye mambo mengine. walio serious wanipigie kwenye namber hii. 0767458197. nimeweka picha ili uangalie BEI TSH 9500000 shukrani
Latest ninayojua ni walionyang'anywa wachina na TRA pale kariakoo..iko vizuri milango 5...kwanini usiende tu mwenyewe pale mwenge...tafuta muda..ukaone.very resonable prices.Mkuu, hizo rav 4 una details zaidi?
Ahsante mkuuLatest ninayojua ni walionyang'anywa wachina na TRA pale kariakoo..iko vizuri milango 5...kwanini usiende tu mwenyewe pale mwenge...tafuta muda..ukaone.very resonable prices.
Ulidanganyika na body ukaoda sasa iendeshe mwenyewe!!Hizo gari mkataba nikama ndoa ya kikiristo
Mkuu, hizo rav 4 una details zaidi?