Wapenzi jamii forum!
Naomba kama mtu anaijua kampuni inayoweza kuchukua gari kwa kukodisha (car rental), anisaidie kuwapa contact zangu au kunipa contact zao. gari ni Toyota Hiace! naambatanisha na picha.
kwa mawasiliano tumia namba
0754 379720
0784 389720