M muddyulada Member Joined Jun 17, 2015 Posts 6 Reaction score 0 Nov 18, 2015 #1 Gari aina ya cresta inauzwa kwa picha na mawasiliano zaidi piga simu namba +255712595871
K Keben JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 725 Reaction score 178 Nov 18, 2015 #2 mkuu gari lako halina maelezo ya kutosha?
K kimbwe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 707 Reaction score 213 Nov 18, 2015 #3 weka picha na maelezo muhimu hapa achana na mambo ya simu.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 Nov 19, 2015 #4 msameheni kajiunga jf hivi karibuni. Natumai atarekebisha maelezo yake. Ajue kwamba kupiga sim ni kuongezea wenzie umaskini,zikipigwa simu elfu moja tu tayari katia watu hasara wakati anaweza kuweka maelezo ya kujitosheleza
msameheni kajiunga jf hivi karibuni. Natumai atarekebisha maelezo yake. Ajue kwamba kupiga sim ni kuongezea wenzie umaskini,zikipigwa simu elfu moja tu tayari katia watu hasara wakati anaweza kuweka maelezo ya kujitosheleza