Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,063
- 11,112
Kama nataka kushawishika hivi mmmh
Ila naona kama iko chini sanaKama nataka kushawishika hivi mmmh
Sijui ikipandiswa inc sita hivi itaonekanaje
Gari ina mda kidogo si unaona KM zimesoma?Njoo kagua gari mkuu...Ni namba gani