Hapana mkuuchukua 600k mkuu
Inafanya kama kawaida. Utofauti ni kwamba kuna Pc za kawaida ambazo hazina Graphics card ya ziada (Render)ambazo ndizo hudrive game,mfano Nvidia au Radeon.Naomba kuelekezwa kidogo, kwani inapoitwa gaming pc, haifanyi kazi nyingine kama pc za kawaida au inamaana gani wakuu??
Gamng PC znauwezo mkubwa kama hiyo....check specsNaomba kuelekezwa kidogo, kwani inapoitwa gaming pc, haifanyi kazi nyingine kama pc za kawaida au inamaana gani wakuu??
Unataftaga a chatting partner i pity you, i really do.Dah... Ndio yaleyale... Ya HDD.
Old version technology, 5 years to come it is going to be phased out!
Nikisema naonekana mshamba!!!
Dah... Ndio yaleyale... Ya HDD.
Old version technology, 5 years to come it is going to be phased out!
Nikisema naonekana mshamba!!!
Huyu debora sio mtu wa kujibu...anataka ubishan uanze ili apate sehem ya kupotezea muda[emoji16][emoji16][emoji16] acha dharau mkuu ndio zetu hizi
Available
Inbox tuoneBoss exchange plus top up..
Itanifaa kwa mambo zangu za graphics designing
Inbox tuone
I cant work with youHuwa unauza laptop moja moja ama unazo nyingi yani stock.
I cant work with you
Mkuu nautaka huu mzigo nimekutext inbox naomba unijibu tumalize busneeeI cant work with you
This is the reason why?...U lack respect...Natafuta pesa ndio ila My Respect should be reservedKwamba umenuna!!!