Galaxy zinauzwa

Bzney

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Jipatie Galaxy s2 zipo nyingi jumla na rejareja. Ni used sawa na mpya kutoka Korea. Kwa mawasiliano piga no hizi. 0754240428/ 0717111212
 
Je bei zake?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
taja bei upate hela haraka ww
 
Wakuu mzigo umeingia majuzi, najaribu kushirikisha wadau kuhusiana na bei, lengo ni kupata nafuu. Naomba kujua soko la used . Mzigo upo wa kutosha na mtafurahi.
 
Wakuu mzigo umeingia majuzi, najaribu kushirikisha wadau kuhusiana na bei, lengo ni kupata nafuu. Naomba kujua soko la used . Mzigo upo wa kutosha na mtafurahi.

leta bei fasta, kama inalipa nitakustua
 
Wakati natazamia kuangalia solo la used likoje bei ni 500,000. Ila nasisitza kuwa lengo ni kuwapa nafuu kwani nyie ndo wadau.
 
Tupia model ya izo s2 ili nicheck kwny gsmarena.com nichukue mzigo.
 
Wakuu mzigo umeingia majuzi, najaribu kushirikisha wadau kuhusiana na bei, lengo ni kupata nafuu. Naomba kujua soko la used . Mzigo upo wa kutosha na mtafurahi.
Hizo used zako betri kukaa inachukua muda gani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…