jamaa hapa yuko sahihih kabisa,nazani kama kioo peke yake kununua kingekuwa cheap ungeweza kunua hata kwa laki na kufix uuze bei nzuri lakini hilo ni gumu coz vioo vyake vya lcd bei juu sana,kioo pekeake ni laki 2 na upuuzi bado za utengenezaji,nisiongee sana ofa yangu mie 170000tsh cash