5.7 ins. QHD SuperAMOLED screen
32GB storage
4GB RAM
16MP main camera
5MP front camera
price TShs. 1,100,000
used 2 months. in excellent condition. box and original contents zipo. nauza kupata simu yenye line mbili.
Emilias niliponunua hii simu nilikuwa na namba yangu binafsi. recently nimepewa namba ya kikazi. sitaki kuachana na namba yangu bunafsi na sitaki kutembea na simu mbili. hope utaelewa.