kwa wale wenye ungo ulioelekezwa intelsat906 pale zinapopatikana tvs za bongo mnaweza kufurahia epl la liga leo sebuleni kwenu mki rescan receiver zenu au kwa kuweka 4136 v 7200 kama decoder zenu ni dvbs2 mpeg4 compatible. Wenye mediacom muwe wapole. Ting AAL-003 decoder bwana, we acha tu.