Bado tu unatumia free emails mf: jinaLaBiashara@gmail.com/yahoo.com na nyinginezo..
Kwanini usiwe na email binafsi kwajiri ya biashara yako? Mfano wa biashara: luzwi na email kuwa john@luzwi.co.tz/ sales@luzwi.co.tz na kadhalika.
Wakati ndio huu na ni rahisi sana, Pata emails 10 kwa kiasi cha Tshs.60, 000 tu kwa mwaka mzima na uwe wa kipekee.
Asanteni sana kwa kutuamini katika kipindi chote cha mwaka 2016.
Tunatanguliza shukrani za dhati kwenu na kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya 2017.