Bei Tshs 450,000/=
Lipo Gongo la mboto
Unauziwa hadi makopo
Juu linagandisha chini liaweka ubaridi
Huwa haliwashwi mara kwa mara.
0689 150 968
0625 557 395
Hapo palipo bonyea tangu linakuja kuna sehemu tuligongesha kidogo ndio maana... kuhusu picha kila nikipandisha zinakuja kama link yaani hata sielewi. Ila unaweza kuja watsapp nakupa picha chapu