winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 335
kama una ndugu yupo dar , unaweza kumwambia aje akuchekie, au kama unaweza kuorganise njia ya usafirishaji hakuna shidaMkuu uwezekano wakufika mbeya upo ili tuongee tunafanyaje maana ninauhitaji
Hapo ndo shida mkuu serious sina ndugu dar labda Kama siwafaham ila ndugu sina nawaza namna yakufika nalo huku inakuaje pia usafilikama una ndugu yupo dar , unaweza kumwambia aje akuchekie, au kama unaweza kuorganise njia ya usafirishaji hakuna shida
upo mbeya sehemu gani nitsjaribu kucheki na wasafirishajiHapo ndo shida mkuu serious sina ndugu dar labda Kama siwafaham ila ndugu sina nawaza namna yakufika nalo huku inakuaje pia usafili
Niko Mbaliz si mbali kutoka stendi ni kitendo cha dakika chache tu kufikaupo mbeya sehemu gani nitsjaribu kucheki na wasafirishaji
Ndogo sana, fridge liko poa150 dau langu
OK MkuuNdogo sana, fridge liko poa
mapelele au tarafani mkuu?Niko Mbaliz si mbali kutoka stendi ni kitendo cha dakika chache tu kufika