forsale NOKIA E72

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
nokia e72 bei poa 170 tu....ipo poa tu.,mawacliano.0767879784
 
Weka bei co unaandka bei poa also pcha kwn hujui kawaida ya matangazo mkubwa?
Au unaona raha upgwe cm uanze kulzwa bei
 
Bei c 170,000 au huoni mkuu...cm ipo fresh tu cna cm ya kuapload pcha hapa nlipo.
 
Na we acha kukurupuka au unaaandika uko usingizini? Ina maana bei hujaiona hapo? Hizi post za kuchangia saa saba usiku zina shida. Haya inuka umuombe mkuu msamaha!

Weka bei co unaandka bei poa also pcha kwn hujui kawaida ya matangazo mkubwa?
Au unaona raha upgwe cm uanze kulzwa bei
 
Na we acha kukurupuka au unaaandika uko usingizini? Ina maana bei hujaiona hapo? Hizi post za kuchangia saa saba usiku zina shida. Haya inuka umuombe mkuu msamaha!

hii nilisoma nikiwa na mawazo lakn niliiona nkashndwa hufta
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…