Farmers sell wives to pay debts in rural India

Kwa hiyo Wahindi wote wamekuwa hawathamini utu kwasababu ya huyu Muhindi mmoja tu aliyekosa adabu?
Hivyo ndo ulivyotafiti ww na ukaona hivyo...akija mwenzako hapa akikwambia kuna tajiri mmoja Uingereza anamiliki mikahawa na madanguro ya wanawake wacheza utupu na nyumba za kucheza filamu za ngono...na mkewe ndiyo starring hodari wa michezo hiyo, utasemaje...maana hapa kinachotafutwa ni pesa tu...kwa hiyo wazungu wote watakuwa hawajali utu kwakuwa mzungu huyu aliyekosa adabu anajipatia kipato kupitia 'sanaa' ya filamu ya mkewe na shughuli zinazoambatana na hizo?
Hapa Mkuu, kama mtoto kanyea kiganjani haina maana vingine vikatwe.
 

Lakini waache dharau zao kuwa eti wako juu kumbe hakuna kitu ni wenzetu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…