E ESilaa Member Joined Apr 24, 2011 Posts 31 Reaction score 13 Nov 10, 2015 #1 Eneo lenye ukubwa wa ekari 3, lipo usagara Mwanza. Lina nyumba ya slopu ya vyumba 3,pia banda la kufugia kuku la kisasa lenye uwezo wa kutunza kuku 600, lina choo pia. Bei nafuu sana. Mawasiliano: 0784315728
Eneo lenye ukubwa wa ekari 3, lipo usagara Mwanza. Lina nyumba ya slopu ya vyumba 3,pia banda la kufugia kuku la kisasa lenye uwezo wa kutunza kuku 600, lina choo pia. Bei nafuu sana. Mawasiliano: 0784315728
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Nov 10, 2015 #2 Weka bei bwana
E ESilaa Member Joined Apr 24, 2011 Posts 31 Reaction score 13 Nov 11, 2015 Thread starter #4 Bei 25million
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,915 Nov 11, 2015 #5 ESilaa said: Bei 25million Click to expand... Kweli bei rahisi,aisee Huko hakuna mawe mkuu?maana jiji lenu kazi kweli. Vipi umeme na maji yapo?
ESilaa said: Bei 25million Click to expand... Kweli bei rahisi,aisee Huko hakuna mawe mkuu?maana jiji lenu kazi kweli. Vipi umeme na maji yapo?