WINCH Member Joined May 3, 2016 Posts 71 Reaction score 23 Oct 24, 2017 #1 Habari za asubuhi, Eneo Heka 2 linauzwa, imejengwa nyumba ambayo yenye vyumba viwili vya kulala na sebule pamoja na bafu ndani (haijaezekwa). Mahali: Kikongo - km 9 kutoka Mlandizi stand ukiwa unaenda Mzenga Bei: Milion 8.0 (Neg.) Eneo linafaa kwa ufugaji na kulima bustan au mazao yoyote yale. Bwawa liko Mita 300 halikauki. Lina miti ya mikorosho saba. Kama uko interested nipm Ahsanteni. Attachments upload_2017-10-24_10-2-5.png 353.5 KB · Views: 61 upload_2017-10-24_10-2-27.png 363.9 KB · Views: 57
Habari za asubuhi, Eneo Heka 2 linauzwa, imejengwa nyumba ambayo yenye vyumba viwili vya kulala na sebule pamoja na bafu ndani (haijaezekwa). Mahali: Kikongo - km 9 kutoka Mlandizi stand ukiwa unaenda Mzenga Bei: Milion 8.0 (Neg.) Eneo linafaa kwa ufugaji na kulima bustan au mazao yoyote yale. Bwawa liko Mita 300 halikauki. Lina miti ya mikorosho saba. Kama uko interested nipm Ahsanteni.
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,938 Oct 24, 2017 #2 Ngoja waje wenye nazo